Michezo

United yatenga £58m kwa Ibrahimovic kutua Old Trafford

Timu ya Manchester United ni miongoni mwa timu za ligi kuu nchini Uingereza zenye washambuliaji waliofunga magoli machache .

01_12091837_183cea_2737628a

Ikiwa imebaki miezi mitatu tu mshambuliaji wa PSG, Zilatan Ibrahimovic mkataba wake wa kuichezea timu hiyo kumalizika, timu ya Manchester United ipo mbioni kumsajili mchezaji huyo kwa dau la paundi milioni 58.

Gazeti la nchini Ufaransa L’Equipe limeripoti kuwa United wamejiunga kwenye mbio za kupata saini ya Ibrahimovic ili atue Old Trafford.

Siku chache ziliopita baada ya kuitoa Chelsea kwenye michuano ya klabu bingwa Ulaya (UEFA), Ibrahimovic alisema, “Mkataba wangu na PSG umebakiza miezi michache sana, sijazungumza na timu yoyote ya EPL. Bado naendelea kucheza PSG kwa sababu mimi ni mchezaji wa timu hii.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents