Burudani

Uongozi wa lebo mpya ya Enock Bella wafunguka, inawasimamia wasanii wa Nigeria, Burundi na Australia (video)

Kuna msemo unasema, Mvumilivu hula mbivu. Hilo limemtokea msanii wa zamani kutoka kundi la Yamoto Band, Enock Bella kwa kusaini mkataba wa miaka mitatu na lebo ya Chako Entertainment ambayo inawasimamia wasanii wengine kutoka Nigeria, Australia na Burundi. Meneja wa lebo hiyo kwa ukanda wa Afrika, amefunguka sababu za kumsaini Bella kwenye lebo hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents