Michezo

US Open: Mashabiki wamtupia lawama Drake baada ya Serena kuondolewa kwenye nusu fainali

Mashabiki wanamlaumu Drake baada ya girlfriend wake Serena Williams kushindwa kwenye nusu fainali ya mashindano ya US Open.
2C32293900000578-3231230-image-m-57_1441999902236

Drake alikuwa uwanjani kumshangilia Serena aliyekuwa akijaribu kuwa mwanamke wa kwanza mweusi tangu Steffi Graf mwaka 1988 kushinda mataji manne ya grand slam kwenye kalenda ya mwaka.

2C31D9A700000578-3231230-image-a-53_1441999283733

Ni mchezaji wa Italia, Roberta Vinci aliyeizima ndoto hiyo.

2C3243D700000578-3231230-image-a-50_1441998396310

Kutokana na kushindwa kwa Serena mashabiki wake walihisi Drake ndiye aliyekuwa na mkosi kuwepo uwanjani hapo na wameanzisha hashtag, #BlameDrake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents