Michezo

Usain Bolt alabata na mpenzi wake fukwe za Thailand (Picha)

Mwanariadha anaeaminika kuwa na mbio zaidi duniani, Usain Bolt ameonekana nchini Thailand akila maisha na mpenzi wake Kasi Bennett.

Bolt raia wa Jamaica ameonekana katika fukwe za Thailand akifurahia maisha na mpenzi wake, Kasi Bennett katika kipindi hichi ambacho amestaafu mchezo wa riadha.

Mkimbiza upepo huyo ameonekana akijipiga picha huku akiwa kari na mrembo huyo katika fukwe hizo za Thailand.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents