Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

USAJILI: Juventus yamng’oa beki kisiki wa AC Milan

Klabu ya soka ya Juventus ya Italia imemsaini beki Mattia De Sciglio kutoka AC Milan.

De Sciglio amesainiwa na timu hiyo kwa mkataba wa miaka mitano. Beki huyo mwenye miaka 24 alianza kuichezea Milan mwaka 2011 baada ya kupandishwa kutoka kwenye timu ya vijana aliyojiunga nayo tangu mwaka 2002.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW