Michezo

USAJILI: Man City yamsajili beki wa AS Monaco

Klabu ya Manchester City imemsajili beki wa AS Monaco, Benjamin Mendy  kwa pauni milioni 52.

Aliyekuwa beki wa timu ya AS Monaco akisaini kandarasi mpya na City

Mendy anakuwa beki wa tatu wa pembeni kusajiliwa na Kocha Pep Guardiola kwa ajili ya msimu ujao.

Mpaka sasa City imetumia pauni million 133 kusajili mabeki wa pembeni hali jambo ambalo limekuwa likiwashangaza wengi wadau wengi wa soka.

By Hamza fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents