Michezo

USAJILI: Tambwe asaini Yanga SC

Mshambuliaji wa kimatifa raia wa Burundi, Amis Tambwe ameongeza mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu ya Yanga SC.

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Burundi, Amiss Tambwe akisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Yanga SC

Kwamara ya kwanza klabu ya Yanga ilimsajili Mrundi huyo akitokea Simba SC mwaka 2015 ambapo aliichezea jumla ya mechi 43 na kuifungia mabao 26.
Kabla ya maisha yake kuwa magumu baada ya ujio wa kocha Mzambia, Patrick Phiri akichukua mikoba ya Mcroatia, Zdravko Logarusic

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Burundi na klabu ya Yanga, Amiss Tambwe akishangilia baada ya kufunga goli

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents