Michezo

USAJILI : Tetesi tetesi za usajili barani Ulaya

Katika dirisha hili la usajili, klabu ya Portsmouth imetangaza kumsajili beki Nathan Thompson kwa mkataba wa miaka miwli.

 

Na kiungo wa klabu ya Gillingham, Elliot List amekubali kuongeza mkataba wa mwaka mmoja ndani ya klabu hiyo,  kwa  mkataba huo  utamfanya adumu mpaka mwisho wa msimu wa mwaka 2017/18

Mchezaji wa klabu ya Chelsea, Diego Costa Diego Costa  amesema anahitaji kusaini  kwa miamba ya Hispania timu ya Atletico Madri, mchezaji huyo aliondoka Atletico mwaka 2014

Diego Costa is reportedly keen on a return to Atletico Madrid

 

Hawa ni wachezaji 10 waliogonga vichwa vya habari katika dirisha la usajili barani Ulaya siku ya leo

https://d2kmm3vx031a1h.cloudfront.net/yD8wybNiQXiYHRXM68Bw_ss.JPG

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents