Burudani

Usher kunyang’anywa watoto wake

usher-kids

Baada ya kuingia katika mvutano mkali na aliyekua mke wake Tameka Foster,


Mwimabji Usher Raymond amejikuta hatarini kunyimwa kuwaona kushirikishwa katika kukua kwa watoto wake wawili aliozaa na Tameka, Navyid na Usher V.

Msuko msuko huo umetokea baada ya Ex wife wa Usher kumfungulia mashitaka mwimbaji huyo kwa kumnyang’anya kadi ya benki na kumpunguzia hela ya matumiziyake pamoja na ya watoto wae wawili. Tameka ametishia kusitisha mpango uliopo sasa wa kushirikiana kuwalea watoto hao pamoja kama hatoridhishwa matakwa yake.

Kambi ya Usher imedai tuhuma hizo sio sahihi na kwamba Usher anawajali na kuwapenda watoto wake licha ya mtu yeyote hasa Tameka kujaribu kumharibia nafasi yake hiyo kama mzazi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents