Burudani

Ushirikiano wa wasanii wa Yamoto Band haujafa – Beka Flavour

“Sisi tupo poa kabisa, hatuna tatizo” hiyo ni kauli ya mmoja kati ya wasanii wanaounda Kundi la Yamoto Band Beka Flavour, baada ya taarifa kuzagaa katika mitandao ya kijamii zikidai kwamba wasanii hao wamegombana na kila mmoja anafanya kazi kivyake.

Angalia video hapa chini umsikie Beka alivyofunguka kuhusu ushirikiano wa wasanii wa Yamoto Band nje ya kundi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents