Michezo
Usikie wimbo wa Pacquiao atakaoingia nao siku ya pambano lake na Mayweather
Manny Pacquiao hataki kuingia na wimbo wa msanii mwingine siku atakayopanda ulingoni kuzichapa na Floyd Mayweather. Bondia huyo wa Ufilipino ametunga wimbo wake mwenyewe. Wimbo huo alioimba kwa hisia kali unawatia moyo moyo wafilipino waishio katika maisha magumu.
https://youtu.be/W7X7d3oOeC4
Pambano lao litapigwa May 2 jijini Las Vegas.