Promotion

Usiyoyajua kuhusu AIRTEL

Airtel_Face

 

MWANZO  nilikuwa sijui kwa nini AIRTEL wanasema HAMIA AIRTEL, ndipo nikaona bora nikatembelee kwenye banda la mtandao huo na kujipatia elimu kutoka kwa mawakala ambao wapo wakitoa  kuhudumia  hiyo kwa wateja, nilichokipata hapo niliamini sasa ni lazima watu WAHAMIE AIRTEL, kwa sababu zifuatazo….

KWANZA  AIRTEL wanatoza kiasi kidogo cha fedha, yaani NUSU SHILINGI kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa tano usiku bila mchecheto, na kama haitoshi wanakupunguzia zaidi mpaka robo shilingi kuanzia saa tano za usiku  mpaka saa 12 za asubuhi bila ya hata longolongo wala ubabaishaji,  huku wakikutoza  NUSU BEI hapa wanamaana yaani wao wanachukua shiling 3 ‘tu’ kupiga  mtandao wowote hapa nchini.

Ili kukuonyesha AIRTEL sio wababaishaji katika mitandao,  wanakupa muda wa bulee kwa kutumia muda wa hewani, kusalimu ndugu jamaa na marafiki zako kwa kupitia huduma ya Me2u ,  kisha wanakupa  nyongeza  ya asilimia 10, kila unapoongeza salio kupitia huduma ya AIRTEL RUSHA hapo kwa hapo.

Air_tel2

Bado AIRTEL wanakuunganisha na midundo ya muziki wa kisasa na ile uipendayo kupitia AIRTEL FLEVA, utakuwa unapata Fleva kalikali  popote ulipo na kwa wakati wowote na kukufanya ujisikie huru. Sio wewe ‘tu’ hata wale wanaokupigia pia unaweza kuwapatia burudani kwa kubonyeza namba 15578, na kuwafanya wasiboleke wakati wakikusubili  upokee simu.

Airtel_3

AIRTEL wakazidi kunishawishi mimi na wengine ambao tulikuwepo kwenye mabanda yao yanayotoa huduma kwa wateja, kutokana na hii huduma ya AIRTEL MONEY, ambayo unauwezo wa kutumana kutumiwa  fedha popote ulipo na kwa muda wowote.  Zaidi na zaidi wanakupa uwezo wa  kuibeba benki yako kiganjani, kwa kuhamisha akaunti yako ya fedha kutoka benki na mpaka  kiganjani kwenye simu yako.

Air_Tel4

Katika huduma hiyo ya AIRTEL MONEY, wanakuwezesha  kulipia usajili wa  vyuo mbalimbali ‘HELBS’, na kama unaona haitoshi  unaweza kulipia Ankala ya Maji, bili ya umeme, chuo Marekani, na Dstv kwa raha zako, bila kupata usumbufu wowote.

pia wanakuwezesha kufanya mawasiliano mazuri tu, na Kilimo kwanza hasa katika zao la Tumbaku kwa kukupatia taarifa isiyo na shaka hata kidogo kutoka AMIS Tobacco,  kupiga namba ya AIRTEL *154*45 na kumalizia na alama ya  reli.

Airtel5

Air_tel5

Zaidi ya hapo AIRTEL wamekuja na  funga mwaka kwa kukupa nafasi ya  kulala maskini na kuamka tajiri kwa kushiriki  Shindano la KWANJUKA na kutuma meseji kwenda namba 15656 na kujishindia kitita cha fedha kuanzia milioni, 10, 5  au 1 ni kwa mwezi wiki na siku. hapo sasa nikaamini kuna ulazima wa kila mmoja KUHAMIA AIRTEL, maana inajua watu wanachokihitaji kwa karne hii.

Air_tel_6

Pia AIRTEL wamekuwa wakitoa zawadi ya papo kwa hapo, katika mjengo wao wa Sabasaba katika mashindano madogo na makubwa waliyokuwa wakichezesha hapo,  kwani unaweza kujiondokea na Kapelo, T-shert, plastiki ya maji na mazagazaga mengine.

Air_tel_7

Mpaka naondoka hapo nikaridhika na KUHAMIA AIRTEL, nakushauri na wewe uhamie AIRTEL wewe ndugu na jamaa zako…………….. By Mo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents