Afya

Utafiti: Wanaume wenye upara ni hatari wawapo kitandani

Utafiti uliofanywa mwaka 1960 na Dr. James Hamiliton umeonyesha kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya usawa wa homoni ya Testosterone kwa mwanaume na  wenye upara.

Wanaume wenye kipara wana idadi ya juu ya homoni ya Testosterone hivyo wanakuwa na misuli zaidi na hivyo kufanya wawe na hamu na nguvu zaidi za kushiriki tendo la ndoa.

Kuwa au kutokuwa na upara hutegemea idadi ya Testosterone iliyo mwilini ambapo ndiyo huchangia uwezo wa mwanaume kitandani. Ukweli ni kuwa ni idadi nyingi ya homoni za Testosterone ndiyo inachangia kuwa na upara.

Mhimu: Homoni ya ‘testosterone’ ni homoni inazofanya mwanaume kuwa na hamu na uwezo wa kufanya mapenzi.

Chanzo: Dk Fadhili Paulo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents