AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Utapenda alichokifanya Mwasiti na Roma kwenye video ya wimbo ‘Fall In Love’

Muimbaji Mwasiti Almas Ijumaa hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Fall in love akiwa amemshirikisha rapa, Roma Mkatoliki. Ndani ya wimbo huo wa mahaba kila mmoja ameeleza jinsi anavyopenda mwenzake hali ambayo imeufanya wimbo huo kukubalika mapema zaidi na mashabiki wa muziki. Video ya wimbo huo imeandaliwa Kwetu Studio chini ya Director Msafiri huku audio ikiandaliwa Tongwe Record.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW