Burudani

Utapenda maisha ya Ray Vanny na mama watoto wake (Picha)

Muiambaji wa WCB, Ray Vanny ambaye ni mzaliwa mkoani Mbeya, weekend hii alionekana akiwa na mama watoto wake nyumbani kwao Mbeya.

Ray Vanny akiwa na mama watoto wake kanisani.

Wawili hao wakiwa mkoani humo waliweza kuhudhuria ibada katika kanisa moja ambalo halikutambulika mara moja. Pia waliambata na mtoto wao mdogo aitwaye, Jaydan.

Couple hiyo ni moja kati ya Couple ambazo zinawavutia watu wengi zaidi nchini kwasasa kutokana na kuishi maisha yao bila kuwa na skendo kama za mastaa wengine. Angalia picha zao wakiwa Mbeya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents