Burudani ya Michezo Live

Uturuki: Takribani watu 19 wafariki na wengine 300 wajeruhiwa katika tetemeko la Ardhi

Uturuki: Takribani watu 19 wafariki na wengine 300 wajeruhiwa katika tetemeko la Ardhi

Tetemeko lenye ukubwa wa 6.7 katika kipimo cha Richa limetokea Elazig, Mashariki mwa Uturuki na kusababisha vifo vya watu 19 na kuwajeruhi watu wengine zaidi ya 300Taarifa iliyotolewa na Shirika linalohusika na kutoa huduma ya kwanza katika Matukio ya Dharura (AFAD) imefahamisha kuwa idadi hiyo ya waliofariki inaweza kuongezeka

Na Jacquiline Ngoya

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW