Tupo Nawe

Uwanja mpya wa Simba uliyopo Bunju wageuka machungio, kukamilika mwezi wa tano bado kitendawili (+video)

Wakati Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ akisema kuwa hadi ifikapo mwezi wa tano basi uwanja wa timu hiyo uliyopo Bunju utakuwa tayari kuanza kutumika, ndipo Bongo5 ikapata shauku ya kutembelea dimba la mabingwa hao watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara na kukuta mifugo ikipata malisho.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW