Burudani

Uwezo wangu kwenye show ni poa – Roma

Msanii wa Bongo Fleva, Roma amesema kwa sasa yupo vizuri katika kufanya show.

Kauli ya Rapper huyo inakuja baada ya kuugulia kipindi kirefu cha maumivu tangu alipopatwa na mkasa wa kutekwa. Hapo juzi Roma alifanya show kwa mara ya kwanza.

“Uwezo wangu kwenye performance nipo poa, am good enough, strong enough, hakuna chochote ambacho kimabadilika sana sana kimezidi tu kwa sababu nilikuwa nayaona mapokezi ya watu kabla sijafanya show,” ameiambia XXL ya Clouds FM na kuongeza.

“Hii ndio carrier yangu, ni kama kujua mpira ukijua umejua tu, kwa hiyo technique zile za ku-perform ambazo ninazo zinabakia pale pale, Roma waliyemuona 2005, 2014 nadhani ndio huyo huyo,” amesema Roma.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents