Promotion
UZINDUZI WA AIRTEL SUPA 5 COCO BEACH ULIVYOFANA JANA
Maelfu ya wananchi walijitokeza kuhamia Airtel na kupata huduma mpya ya SUPA 5! Sasa huduma hiyo itazinduliwa tena Dodoma mwishoni mwa wiki hii na wasanii Tip Top, Mashujaa, Wanaume TMK, Chege,Temba na wengine kibao watawakilisha.