Bongo Movie

Uzinduzi wa filamu ya SHOGA

2_mgeni_rasmi
(Hapa Mgeni rasmi akiingia mbunge wa Kinondoni, Idd Azani, anayetizama saa na wakulia kwake ni Tino aliyeigiza kama Shoga na pembeni ni Dude)

Usiku wa uzinduzi wa filamu ya SHOGA, hakika ni miongoni mwa usiku ambazo nazifurahia kutokana na jambo hilo kubwa kwa wasanii. Kwa mimi kama mwana Bongo5, nilipata elimu nyingine ya kipekee kwani, nilijifunza kumbe watanzania tunaweza kufanya filamu zetu zikawa na faida, kwa kuzitoa kwa mpangilio maalum.

1_Uzinduzi

Kwa wenzatu, walioendea  huwa na makumbi ya CINEMA ‘Theatre  film’ kwaajiri ya kuzindua filamu zote mpya zinazotoka kwa kipindi hicho. Tena huwa na wakati maalum wa kuzindua ‘SUMMER TIME’  filamu zote huwa katika mzunguko maalum ili wasije kutiana hasara kati ya wasanii wakonge na wasanii wachanga.

Sina uhakika kama na wao pia huwa wanaarika wageni rasmi kama ilivyo kwetu, hata hivyo najua wanampangilio maalum na ndiyo maana haivurugiki wala kuteteleka yaani huwa SMART, kwa mambo yao.  Haya sio kwamba yanahitaji elimu wala fedha nyingi kuandaa, kwakuwa hata sisi tayari tuna kumbi mbali mbali za sinema, jambo la kupanga msimu gani wa kuzizindua, ilikupunguza wingi wa filamu na kuwatenga wasanii na WAZUGAJI.

Hii itasaidia kutambulisha wasanii wapya wenye uwezo mkubwa, kuongeza ajila ya kudumu, na hata kutunza maadili, kwakuwa tayari zitakuwa zimepitia kwenye vyombo husika.

Najua italeta ‘COMPETITION’ kwa wasanii kwa kutengeneza kilicho bora kuliko kujivunia majina yao, najua ataweza hata kuwazuia WACHAKACHUAJI.

3_mapacha_watatu
(Mwanamuziki toka kundi la Mapacha watatu, Kharidi Chokoraa akikamua kwenye uzinduzi huo)

4_Wanenguaji_wakiwajibika
(Hapa ilikuwa katika hari ya kuwabika, Wanenguaji nao ulikuwa wakati wao)

6_Zola_D_akiajibika
(Zola d naye hakuwa mbali, aliweza kuwawakilisha vizuri wasanii wenzake wa Bongo fleva)

7_Pastor_Myamba
(Pastor Myamba naye alikuwepo kwenye uzinduzi, pia kwenye filamu aliigiza kama mchunguzi kazi ambayo anaimudu vizuri sana…. Hapa sijui alikuwa nani?)

10_Mtitu
(William Mtitu naye alikuwepo, msambaza na mwongoza huku akiwa mwigizaji wa muda mrefu)

12_Wakishoo_love_bongo5
(Wazalendo wa filamu za Kibongo, nao wakasema Tushow Love kidogo na Bongo5)

11_Wakishoo_love_na_Bongo5
(Jamani hata wageni pia wanapenda vya kwetu, tuache kujidharau. huyu mtoto sijui ndugu yao, hebu lete maoni yako, mbona wamefanana)

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents