Burudani

Uzinduzi Wa Video Ya ‘Baadaye’ Ommy Dimpoz,Maisha Club

Msanii Ommy Dimpoz jana usiku alizindua rasmi video yake ya wimbo wa ‘Baadae’ katika ukumbi wa New Maisha Club iliyopo Oysterbay jijini Dar-es-Salaam.

Video hiyo ilifanyiwa shooting South Africa kama ambavyo Bongo5 ilikuripotia wiki chache zilizopita na kua inasubiriwa kwa hamu sana na adau wa muziki Tanzania.

Katika uzinduzi huo, Ommy Dimpoz alisindikizwa na Chege Chigunda pamoja na baadhi ya wasanii kama Bob Junior na Kassim Mganga kutokelezea na ku shoo luv.

Angalia picha hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents