DStv Inogilee!

Valentine’s Day: Mtandao wa ‘pornhub’ waachia album ya muziki maalum kwa siku ya wapendanao, yupo Blac Chyna na 6ix9ine

Mtandao wa picha za giza wa Pornhub umeachia album ya muziki, maalumu kwa siku ya wapendanao yaani valentine’s day .

Kwenye album hiyo yenye nyimbo 6, kuna wakali kama Blac Chyna ambaye amesikika kama back vocal, 6ix9ine, Lil Xan, PnB Rock, Madeintyo, 24Hrs, na Asian .

Isikilize album hiyo kwenye hii Link hapa chini :

https://www.nme.com/news/music/pornhub-valentines-day-album-6ix9ine-lil-xan-2447864

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW