Michezo

Van Gaal arejesha furaha Man United

Manchester United wamefanikiwa kuchukua kombe ikiwa ni kombe la kwanza kwa kocha Louis Van Gaal la mashindano ya kimataifa ya Guinness nchini Marekani. Manchester United ilipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya mahasimu wao wakubwa, Liverpool katika mchezo wa fainali uliomalizika usiku wa jana mjini Miami, Marekani.

article-2716154-2042A69B00000578-756_634x533
Darren Fletcher na Rooney wakiwa wameinua Kombe la Kimataifa

Wafungaji wa mabao hayo, Rooney dakika ya 55, Mata 57 na Lingard 88, baada ya Gerrard kutangulia kuwafungia Liverpool kwa penalti dakika ya 14.

article-2716154-20424CC500000578-204_634x364

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents