Burudani

Vanessa Mdee aeleza atakavyoinufaisha familia Mubaraka Mwishehe kwa mauzo ya mtandao (+Video)

Msanii wa muziki Vanessa Mdee amebainisha kwa nini familia ya marehemu Mubaraka Mwishehe itanufaika kwa mauzo ya albamu ya Money Monday kwa njia ya mtandao na sio kwa mauzo ya kawaida (CD).

Mrembo huyo amebinbisha hayo kupitia mahojiano aliyofanya na Bongo5 na kusema kuwa ameamua maamuzi hayo yamekuja baada ya utoa kiojo katika ngoma ya ‘Jogoo la Shamba’ ya marehemu Mubaraka na kukitumia katika ngoma yake ya ‘ Pumzi ya Mwisho’ aliyowashirikisha marapper wawili amabo ni Cassper Nyovest na Joh Makini.

“Familia ya mubaraka itanufaika kwa mauzo ya kimtandao kwa sababu soko letu lina hamia kimtandao Zaidi hivyoi ni meona ni busara kutumia njia hiyo,” amesema Vanessa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents