Aisee DSTV!
SwahiliFix

Vanessa Mdee afunguka chanzo cha vurugu za kibaguzi Afrika Kusini, Adai wakoloni ndio wakulaumiwa (+video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amesema kuwa chanzo cha vurugu za kibaguzi nchini Afrika Kusini, Kiini chake ni wakoloni.

Akiongea na Bongo5, Vanessa amesema kuwa awali kabla ya wakoloni kuja Afrika, Bara la Afrika lilikuwa ni moja hakukuwa na mipaka, hivyo Waafrika waliishi kama ndugu.

Vanessa amedai ujio wa wakoloni ndio walioleta mikakati ya kuigawa bara la Afrika, Kwa kuweka mipaka, Jambo ambalo likasababisha watu kuanza kubaguana kwa utaifa wao.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW