Burudani

Vanessa Mdee aungana na UNICEF kupinga ukatili kwa watoto

Vanessa Mdee ameungana na shirika la kutetea haki za watoto duniani, UNICEF kupinga ukatili dhidi ya watoto.

11034038_937525469613630_4626016617268639062_n

“Tanzanian artist @VanessaMdee is joining #UNICEFTanzania to #ENDviolence against Children #WalindeWatoto,” wameandika UNICEF.

“Day well spent with #UNICEFTanzania #EndViolenceCampaign #WalindeWatoto,” ameandika Vanessa kwenye picha aliyoiweka Instagram.

Vanessa anaungana na AY na Faraja Kotta kwenye kampeni hiyo iitwayo ‘Walinde Watoto’.

CADcO5MWAAAsm9n.jpg large

CADdTk8XEAATPzT.jpg large

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents