Burudani

Vanessa Mdee awakuna mashabiki na ujio wa video ya wimbo ‘Bambino’

Msanii wa muziki Vanessa Mdee Ijumaa hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Bambino akiwa na muimbaji Reekado Banks kutoka nchini Nigeria. Tayari video ya wimbo huyo imeshaangalia mara 137,996 huku ikiingia trending.

Pia mashabiki wa muimbaji huyo kutoka kwenye mitandao ya kijamii wameonyeshawa kuielewa kazi hiyo.

Vanessa sio mara ya kwanza kufanya kazi na muimbaji huyo ya Nigeria, kwani kolabo yao ya kwanza ya wimbo Move ambayo iliwakutanisha wawili hao ilifanya vizuri ambapo mpaka sasa kupitia mtandao wa YouTube ina views milioni 5.7.

Angalia komenti za mashabiki hao.

Susan Kamene

I love the pop of colour all over the video 😍😍 and the dancehall vyb on the beats 👌👌.

Prince Newton

Kama unamkubali veeeee money Gonga like +(254)KENYA Alafu sisi kama wakenya tushafunga mwaka kutoka upande wa vee money hit song Hii kesho tosha kufunga mwaka💥💥💥💥💥💥💯

OCOL vevo

Vanessa ka umbo kako huwa kananikosha mdee family✔

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents