Burudani

Vanessa Mdee azungumzia jinsi album yake ‘Money Mondays’ itakavyouzwa

Album ya kwanza ya Vanessa Mdee itaitwa ‘Money Mondays’.

vanessa

Album hiyo inatarajiwa kutoka mwaka huu.

Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds FM, Vee Money alisema ‘Money Mondays’ itakuwa na jumla ya nyimbo 10 na collabo kadhaa.

Amedai kuwa itauzwa kupitia mtandaoni zaidi kama wafanyavyo wasanii wa kimataifa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents