Burudani

Vanessa Mdee baada ya Jux kusaini dili China, ‘Baby piga kazi’

Hapo jana, April 12, 2018 Jux kupitia brand yake ya African Boy alisaini dili nchini China. Sasa mpenzi wake, Vanessa Mdee hajawa nyuma kwenye hilo.

Vanessa Mdee amempongeza Jux kwa hatua hiyo aliyopiga na kuwashukuru watu wote waliokuwa waki-support bidhaa za Jux kupitia African Boy. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Vanessa ameandika;

“We live in a world of endless possibilities. Hongera sana sana sana babe, umepambana sana kuijenga African Boy pamoja na Watanzania wote waliowahi ku-support brand yako ya kijanja, now it’s Money Time. God bless you with more Jux, nakuona mbali babi wewe piga kazi,” amesema Vanessa.

Soma Pia; Jux kupitia African Boy alamba dili China

Jux amesaini dili na kampuni  ya Vendome ya nchini China kwa ajili ya kuzalisha bidhaa zake kupitia brand ya African Boy ambayo ina bidhaa kama tisheti, kofia, viatu, mabegi n.k.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents