Burudani

Vanessa Mdee na Ice Prince watumbuiza kwenye BBA Naija

Vanessa Mdee na rapper wa Nigeria, Ice Prince Zamani jana wametumbuiza kwenye show ya Big Brother Naija 2017.

Wawili hao wanafanya vizuri na wimbo wao No Mind Em. Baada ya show hiyo Ice aliweka picha hiyo juu na kuandika: 1 for TV !!! @vanessamdee Thank You sister #NoMindDem ????.”

Show yao imesifiwa na watu wengi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents