Burudani

Variety wampa mchongo Kendrick Lamar

Jarida la Variety limempa dili rapper mkali kwa wakati huu, Kendrick Lamar kukava jarida hilo katika kipengele cha ‘Hitmakers’.

Lamar ataonekana mbele ya jarida hilo linalotarajiwa kutoka mwezi huu, ni siku chache toka jarida la  ‘Forbes30 Under 30′ limpatie nafai rapper huyo na rapper wengine kuelezea muziki katika jarida hilo linalotarajiwa mapema mwakani.

Mkali huyo wa albamu ya ‘DAMN’ ambaye anamiliki tuzo zaidi ya kumi za muziki amezungumzia mambo mbalimbali katika jarida hilo ikiwemo muziki aina ya muziki anaofanya pamoja na albamu zake zilizvyo na jinsi gani 2pac alivyomshawishi kupenda na kuingia katika muziki.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents