Burudani

Venture atoka kwenye ukapera

vencha
Dj Venture aachana na ukapera na hatimaye afunga ndoa na Benadina katika kanisa lililopo  Mikocheni B jijini Dar es salaam la mtakatiufu Martha.

Harusi hiyo ilikamilishwa kwa shangwe na vigeregere baada ya kila mmoja kudondoka sahihi ya cheti cha ndoa na kukiri kwamba sasa ni mke na mume.  Ongera Boniventure Kilosa, Mungu akupe maisha marefu ya ndoa yenu…

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents