Shinda na SIM Account

Vera Sidika afungua milango kwa wanaume

Ni kweli Vera Sidika yupo single? Nadhani utakuwa umeshangaa na hutaki kuamini hilo kutokana na mrembo huyo wa Kenya anavyowatoa udenda vidume wengi kutokana na umbo lake alilobarikiwa na kubwa zaidi fedha ambazo anatumia kwenye kula bata katika viwanja mbali mbali vya starehe duniani, inakuwa ni vigumu sana kukosa wapembeni yake .

Lakini huo ndio ukweli wenyewe ambapo Vera mwenyewe amethibitisha hilo kupitia ujumbe wake ambao ameuandika kwenye mtandao wa Instagram.

“I’m as Single as a dollar bill and I’m not looking for change ūüíĀūüŹľ,” ameandika mrembo huyo kwenye mtandao huo.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW