Vera Sidika apatiwa kiboko yake (Picha)

Aliyekuwa mpenzi wa mwanamitindo na Video Queen maarufu nchini Kenya, Vera Sidika ameopoa chombo kipya ambaye ni kiboko ya Vera.


Vera na Mnaigeria enzi za mapenzi yao.

Mwanaume huyo ambaye ni mnaijeria alikuwa akipostiwa katika mitandao ya kijamii na Vera mpaka watu wakaamini huwenda sasa mwanadada huyo wa Kenya amepata Soul Mate(Mwandani wake).

Kwa sasa mwanaume huyo amevuta mtoto mpya mwenye rangi tamu ya kuvutia kutoka Afrika Kusini aitwaye Lady Kaygee, na kuonesha amekolea na mtoto huyo mkali ameamua kumpost kwenye mitando ya kijamii kuonesha anavyovipata.

Picha za mpenzi mpya wa ex wa Vera Sidika

Naye Lady Kaygee ameposti picha akiwa kwenye mtandao wa Snap chat akiwa na mwanaume huyo kwenye chakula cha usiku.

Vera aliachana na mkaka huyo kwa sababu anazozijua mwenyewe.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW