Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Vera Sidika atoa la moyoni kwa Ex- wake

Baada ya kutemana na mpenzi wake Mnaijeria, hatimaye mrembo kutoka Kenya, Vera Sidika amemua kuvunja ukimya juu ya habari zinazosambazwa na bwana huyo juu ya kuachana kwao.


Vera na Ex wake enzi z mahaba yao

Vera ambaye kwa sasa hajaweka wazi mahusiano yake ametumia mtandao wa Instagram kuelezea alichonacho moyoni na kuamua kuandika ujumbe juu ya mahusiano yake na Mnaijeria huyo.

Mchezo huo wa kutupiana vijembe ambao umeahamia Snap chat ulianza kwa Vera kuvujisha sms alizotumiwa na ex-wake(Yommy) zikionesha mwanaume huyo akiwa anatajitahidi kurudi katika hali yake ya kuover come kwenye penzi hilo.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW