Michezo

Victoria Beckham adai aliumia alipomsikia binti yake anataka kuwa mcheza soka kama baba yake

Akiwa mkubwa, Harper Beckham anataka kufuata nyayo za baba yake, David.

beckham
Harper akiwa na baba yake David Beckham hivi karibuni kwenye New York Fashion Week

Mtoto huyo mwenye umri wa miaka minne hivi karibuni alimueleza mama yake Victoria, kuwa anapenda kuja kucheza soka kama baba yake.

“Aliniambia siku moja kuwa ‘mama, nadhani nataka kucheza football. Ni jambia kwenye moyo wangu,” mbunifu huyo wa mavazi alikiambia kipindi cha Good Morning America kabla ya kuonesha nguo zake mpya kwenye New York Fashion Week.

25B5C31700000578-2955062-Pride_of_place_Harper_watched_the_Victoria_Beckham_show_from_the-a-89_1424080399677

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents