Burudani

Victoria Kimani atua Nairobi kushoot video ya Live It Up

Malkia wa muziki Mkenya na mzaliwa wa Marekani na kwa wakati huo huo anayekuwa na makazi yake nchini Nigeria, Victoria Kimani ametua Nairobi tayari kujitayarisha kwa kushoot video ya wambo wake Live It Up ambao yeye na Redsan wameshirikishwa na Dj Creme de la Crame.

“Shooting ”Live it Up” Video with the bros @thecremedelacreme and @redsanmusic today!!! It’s about to be LIT in Nairobi tonight…. Stay tuned to my Snapchat:VictoriaKimani,” ameandika kwenye Instagram.

Awali Victoria kama wiki tatu zilizopita alitumia Instagram kuwafahamisha mashabiki wake kuwa project yake ya Safari ambayo ndio inatamba kwa sasa huenda ikawa project yake ya mwisho katika label inayomsima ya Chocolate City.

Nikinukuu wakala wake alioandika Instagram…

Mann “these labels got me feelin independent!!!! ” ????????⛓????But still I keep pushing cuz greater is HE that is in me than he that is in the world. SAFARI is my last project with @choccitymusic …. Excited about what’s NEXT,” aliandika.

Haijulikani kama ana mpango wa kurudi Kenya ama Marekani ila amekata shauri kukatana kamba na Chocolate City ambayo alisaini ndani yake mwaka wa 2012.

Makala ya: Changez Ndzai (Kenya)
Facebook: Changez Ndzai
Twitter : ChangezN
Instagram:changez_ndzai

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents