MuzikiUncategorized

Video 20 za Muziki Tanzania zilizoangaliwa na kuingiza mtonyo mwingi zaidi YouTube mwaka 2018

Wakati tunaelekea kufunga mwaka 2018 kuelekea mwaka 2019, Mtandao wa Bongo5 umekuandalia list ya video 20 za muziki Tanzania zilizoangaliwa zaidi kupitia mtandao wa YouTube. List hii imepatikana kwa msaada mkubwa na mtandao wa dbase ambao ni mahususi kwa kutoa taarifa na takwimu za video zilizopakiwa kupitia mtandao wa YouTube.

 

1. Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru

33,172,619 view

2. DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION – African Beauty
27,245,441 views

3. Diamond Platnumz Ft Rayvanny – Iyena
12,184,819 views

4. Wcb wasafi ft Diamond Platnumz & Mbosso & Lavalava – JIBEBE (Official Video)

9,126,633 views

5. Navy Kenzo feat. Diamond Platnumz – Katika
7,443,033 views

6. Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari – Baila (Official Music Video)
6,689,742 views

7. Aslay X Nandy – Subalkheri Mpenzi (Official video)
6,671,732 views

8.  Nandy – Ninogeshe (Official music video)
6,311,454 views

9. Mbosso – Nadekezwa (Official Music Video)
6,150,254 views

 

10. Harmonize – Atarudi (Official Music Video)
5,566,202 view

 

11. Aslay – Nibebe (official Video)
5,154,890 views

12. Mbosso – Hodari ( Official Video Music )
5,381,960 views

 

13. Maua Sama X Hanstone – Iokote ( Official Music Video )
4,493,148 views

14. Mbosso – Nipepee (Zima Feni) Official Music Video
4,107,372 views

15. ALIKIBA – Mvumo Wa Radi (Official Video)
4,058,378 views

16. Rayvanny – Chombo (Official Music Video)

3,952,577 views


 

17. Mrisho Mpoto Ft Harmonize – Nimwage Radhi (Official Video)
3,601,250 view

 

18. Mbosso – Watakubali (Official Video)
3,582,716 views

19. Lava Lava – Gundu (Official Music Video)

3,143,254

20. Harmonize feat Sarkodie – DM Chick (Official Music Video)

3,138,655 views

Related Articles

Back to top button