Burudani

Video 20 za muziki za Tanzania zilizoangaliwa zaidi YouTube kwa muda wote

Zikiwa zimebaki siku chache mwaka 2018 umalizike, Bongo5 imekuandali list ya video za muziki za Tanzania zilizoangaliwa zaidi kupitia mtandao wa YouTube kwa moja wote. List hii ni kwa mujibu wa mtandao wa dbase.tube ambao unatoa data na takwimu mbalimbali kuhusu kazi za wasanii zinazopakiwa kupitia mtandao huo duniani. Angalia list hiyo.

1. Diamond Platnumz Ft Mr Flavour – Nana
47,282,391

2. Diamond Feat Davido – Number One Remix (Official Video)
35,177,533

3. Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru (Official Music Video)
33,142,849

4. DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION – African Beauty (Clean Version)
27,227,678

5. Diamond Platnumz ft Rayvanny – Salome (Traditional Official Music video)
27,193,447

6. Diamond Platnumz – Sikomi (Official Video)
27,135,940

7. Diamond Platnumz – Marry You ft. Ne-Yo

26,803,735 views

8. Diamond Platnumz ft P’square KIDOGO (Official Video)
21,640,972

9. DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY – ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)
21,090,181

10. HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ – BADO
20,442,057

11. Diamond Platnumz – Ntampata Wapi (Official Video HD)
19,716,220

12. Diamond Platnumz ft Khadija Kopa – Nasema Nawe (AFRICANS TWERKING Official Music Video)
18,976,713

13. Alikiba – Mwana (Official Music Video)
16,707,531

14. Diamond Platnumz – Mdogo Mdogo (Official Video)
16,067,202

15. RAYVANNY – KWETU (Official video)
15,787,262

16. Diamond Platnumz – Utanipenda (Lyric with English Translation Video)
13,778,839

17. RAYVANNY – QUEEN DARLEEN FT RAYVANNY – KIJUSO (OFFICIAL VIDEO)
13,571,978

18. Darassa ft Ben Pol – Muziki ( Official Music Video )
13,040,121

19. HARMONIZE – HAPPY BIRTHDAY ( OFFICIAL MUSIC VIDEO)
12,815,847

20. Harmonize – Aiyola ( Official Video )
12,808,533 views

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents