BurudaniVideos

Video 5 za Bongo Flava ‘zinazotrend’ kwa sasa

Mambo vipi, naomba nichukue jukumu la kuhakikisha kila Jumatatu nakuletea video tano za Bongo Flava ambazo zinakuwa ziki-trend katika mtandao wa YouTube kwa siku husika.

Ukiachilia mbali video nyingine za matukio mbalimbali, hadi sasa video za Bongo Flava zinazo-trend ni kama ifuatavyo.

  1. Country Boy ft Mwana FA – Turn Up (katika trending ya Tanzania ni namba 3)

2. Joh Makini ft Davido – Kata Leta (katika trending ya Tanzania ni namba 4)

3. Vanessa Mdee ft Mr P (P Square) – Kisela (katika trending ya Tanzania ni namba 8)

4. Diamond Platnumz – ENEKA (katika trending ya Tanzania ni namba 11)

5. Nandy – Wasikudanganye (katika trending ya Tanzania ni namba 36)

Kwa Jumatatu ijayo nitakuletea uchumbuzi zaidi kuhusu video hizi, ipi imepanda au kushuka, sababu iliyopelekea na muda iliyokaa katika chart ya hizi video tano.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents