Burudani

Video 5 za Bongo Flava ‘zinazotrend’, Roma kinara

Kama ilivyokawaida kila Jumatatu nakuletea chart ya video tano za Bongo Flava ambazo ‘zinatrend’ katika mtandao wa YouTube.

Chart ya wiki hii kuna mabadiliko makubwa kwani katika video tano za wiki iliyopita zimetoka tatu ambazo ni Pam D ft Christian Bella, Rayvanny – Chuma Ulete na Joh Makini ft Davido – Kata Leta.

  1. Roma – Zimbabwe (pia katika trending ya Tanzania ni namba 1), wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Rayvanny – Chuma Ulete.

2. Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze (katika trending ya Tanzania ni namba 3), wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na  Harmonize – Sina.

https://youtu.be/vdk4MVQD3aQ

3.  Aslay – Baby (katika trending ya Tanzania ni namba 6) pia wiki iliyopita ilikuwa katika nafasi hii. 

4. Madee ft Tekno – Sikila (katika trending ya Tanzania ni namba 12) wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Joh Makini ft Davido – Kata Leta.

5. Harmonize – Sina, wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Pam D ft Christian Bella – Ngoma Droo.


By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents