Michezo

Video: Abdi Banda afunga ndoa na dada wa Alikiba, Zabibu Kiba

Video: Abdi Banda afunga ndoa na dada wa Alikiba, Zabibu Kiba

Beki wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini, Abdi Banda amefanikiwa kuaga ukapela rasmi mara baada ya kufunga ndoa na dada wa msanii wa muziki wa Bongo, Alikiba ambaye ni Zabibu Kiba.

Banda amemuoa Zabibu hapo jana siku ya Jumanne majira ya usiku huku ikiudhuriwa na ndugu, jamaa na familia wakiwemo nyota wa muziki wa Bongo, Alikiba na Abdukiba.

 

Aliyekua beki wa klabu ya wekundu wa Msimbazi , Simba , Abdi Banda ameamua kuweka wazi mpunga atakaokua anapata baada ya kumaliza mkataba wake Simba na kujiunga na klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini .

Mchezaji huyo aliyewahi kuitumikia klabu ya Simba amejiunga na Baroka Julai 12 mwaka 2017 huku akinukuliwa kuwa ameingia mkataba wenye thamani ya  Sh 250 milioni za kitanzania kwa  miaka mitatu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents