Muziki
Video: Adabu Steven – Ifunanya
Msanii kutoka nchini Congo DRC ambaye anaishi nchini Marekani, Adabu Steven, ameachia video ya ngoma yake inayoitwa ‘Ifunanya’. Video imeongozwa na Dang Films.