Videos
Video: Adam Mchomvu – Shughuli
Video mpya ya Adam Mchomvu ambaye ni mtangazaji na msanii baada ya kuwa kimya kidogo ameachia ngoma hii inaitwa ‘Shughuli’, video imeongozwa na Ivan tazama hapa chini alafu toa komenti yako.
https://youtu.be/oRrWQnsbeOI