Videos

Video: Afya Check – Afya ya Uzazi (reproductive health) (Season 01 Episode 01)

Afyacheck ni kipindi kipya cha TV ambacho kinakupa fursa ya kujua afya yako. pia utapata nafasi ya kuuliza maswali yakusu afya. na utajibiwa.Kipindi hiki kitakua kinaruka kupitia Clouds TV. Hii ni video ya kipindi cha kwanza cha afya check kinachozungumzia afya ya uzazi. Tazama uone mtoto anavyopatikana kila hatua inaonekana mpaka mbegu zinavyoungana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents