Michezo

Video: Akilimali akwamisha mabadiliko Yanga SC

Mwenyekiti wa matawi wa klabu ya Yanga SC  Tanzania, Bakili Mohammed Makele amemtaka mwanachama wa timu hiyo Mzee Yahaya Akilimali kuachana na malalamiko na badala yake kuwa kitu kimoja katika kuhakikisha wanajangwani hao wanafanikiwa kufikia mafanikio ya mchakato wa mabadiliko.

“Malalamiko yaliyoenda serikalini yakiongozwa na Mzee wetu Akilimali nikwamba wanachama wa Yanga tuliyofanya uchaguzi tarehe 11 ya mwezi wa 6 mwaka 2016 haukua halali maanake kwamba kuna kadi za posta hazikuwa halali kitu ambacho si sahihi.” Amesema Bakili Makele

Mzee Akilimali ninani ndani ya Yanga SC mabadiliko lazima

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents