Michezo

Video: Al – Masry wanatuheshimu tunahistoria kubwa – John Bocco

Nahodha wa klabu ya Simba, John Bocco amesema kuwa timu ya Al-Masry ipo vizuri na inamwenendo mzuri ndani ya ligi yao na hata katika michuano ya kimataifa ila anaimani kuwa wataifunga kwakuwa wana kikosi bora msimu huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents