Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Video: Alikiba afunguka kumsaini Jokate kwenye lebo yake na Aslay kujiunga Rockstar 4000

By  | 

Alikiba amefunguka kiundani kuhusu wasanii aliowasaini katika lebo yake mpya ambayo anatarajia kuitambulisha muda si mrefu ya Kings Music, akiwemo Jokate Mwegelo pamoja na tetesi za kutaka kumsaini Aslay ndani ya Rockstar 4000 kutokana na wawili hao kudaiwa kuwa karibu zaidi.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW