Michezo

Video: Alikiba aishushia neema Coastal Union ‘nimekuwa mdhamini mkuu kupitia kinywaji changu cha Mo Faya’

Mwanamuziki wa Bongo na mchezaji wa Coastal Union ya Tanga, Alikiba amekuwa rasmi mdhamini mkuu wa timu hiyo kupitia kinywaji chake cha Mo Faya.

 

Mambo sita usiyoyafahamu kuhusu Alikiba na Coastal: Mkataba, namba ya jezi, mchezo wake wakwanza na muziki (video)

Kupitia mahojiano yake na Azam Tv msanii huyo anayetamba na kibao cha Mvumo wa Radi  amesema kuwa ameamua kuidhamini Coastal Union ili kuisaidia kurudi katika ubora wake, kwa hiyo kupitia udhamini huo anaamini utaisaidia kufikia malengo.

Related Articles

9 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents