Tia Kitu. Pata Vituuz!

Video: Antonio Nugaz afunguka mechi yao dhidi ya ‘Mnyama’ Simba, ujumbe wa Manara na ujio wa Jerry Muro

Afisa Mhamasisha na Msemaji wa Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Yanga SC,  Antonio Nugaz amezungumzia mchezo wao wa leo wa kombe la FA dhidi ya Gwambina FC.

Nugaz pia amezungumzia ujio wa aliyekuwa Msemaji wa Yanga SC, Jerry Muro katika kuhakikisha anaongeza hamasa huku akigusia Dar Es Salaam Derby dhidhi ya Mtani wao Simba SC

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW